Recent content by kabahise

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mwenye templates nzuri ya blog anisaidie

    Wadau mie nahitaji ecommerce blogger te mplate ambayo inarun kwenye mobile devices.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kama utahitaji mimi nina mabanda yanafaa kwa ufugaji wa kuku, unaweza kuyatumia kwenye hii project yako ukawa kama muwekezaji, maana mm bado sijaanza kuyatumia.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya cement Dangote

    Habari wanajamii forum, naomba kujua mahali na mawasiliano ya sehem wanapouza cement Dangote kwa bei ya kiwandan, mm nipo mkuranga Pwani. Natanguliza shukran
  4. K

    JamiiForums Tanzania BEI YA CEMENT DANGOTE SH NGAP JUMLA / KIWANDANI?

    Bei ya cement Dangote sh ngap kwa sasa? nahitaj miifuko 200 au zaid, kama unajua mahala gan naweza pata kwa bei nzuri zaid nitashukuru sana kama utashare details. Mimi nipo mkuranga. Nahitaj kupata kwa bei ya jumla au ile ya kiwandani.
  5. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA We offer Vodacom special numbers

    Duh,
  6. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA We offer Vodacom special numbers

    15,000 Kila no
  7. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA We offer Vodacom special numbers

    Inategemea na no utakayohitaj mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA We offer Vodacom special numbers

    Inategemea na no utakayohitaj
  9. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA We offer Vodacom special numbers

    kwa uhitaj wa special number za vodacom, kwa ajil ya biashara, matangazo au matumiz binafsi. [emoji92] [emoji92] [emoji92] [emoji92] [emoji106]
  10. K

    JamiiForums Tanzania Crack file ya Adobe premier pro cc 2017 inahitajika

    naomba adobe premiere pro cc 2017 crack file nahitaj, nashukuru
Back
Top Bottom