Recent content by Kaarumie

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kupiga kura kwenye karatasi ya kura (Kunja karatasi kwa nje): Asante Mbowe

    Na je, kama ikitokeza nje ya kibox, ninahaki ya kuomba nipewe karatasi nyingine ili nirekebishe?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Duni wamsindikiza Seif kuchukua fomu za kuwania urais wa Zanzibar

    Nami nasema "LOWASSA atake asitake kura yangu atachukua"
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Ww umefilisika akili, unatumia kigezo cha aman kuzuia wa2 2cdai haki ze2? Kiukweli kama ulizoe kuudanganya uma kwa kisingizio cha aman mwaka huu umedoda kwan 2ko makin sana na ulaghai wenu mpaka kieleweke. Nakwambia mwaka huu mtaisoma namba.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Sana UKAWA badilisheni tarehe ya kurudisha fomu NEC

    Ninashangaa! Kwanini kila wakati UKAWA wanakuwa wa mwisho wakati hujuma kwao ziko nje nje.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mambo gani Lowassa ayatekeleze tukimpatia ridhaa awe Rais wa JMT

    Acha uoga ww! Hebu jiamini. Lowasa ni mtendaji na hayuko kama unavyomdhania. Nakushauri umuamin pac na mawaa ili a2jengee nchi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz alikuwa anatimiza maagano

    Kiukweli 2nakoelekea......!!? Mpaka 2nafikia kusafishana kiasi hi...... Dah! nimechoka na siasa kabisa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sentensi 50 Bora zilizosemwa wakati wa Kumkaribisha Lowassa UKAWA

    Umesema sentensi hamsini, mbona nyingine ni marudio? Ziko wapi mbadala wa zilizorudiwa?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mbona sijaucheki unabii huo wa Kakobe?
Back
Top Bottom