Recent content by K4 14

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, inachukua muda gani kuona dalili za maambukizi ya HIV?

    Ndugu zangu wa jf nilipendaa kuuliza ya kuwa vipimo ya kawaida vya hospitali HIV TEST vinapima ukimwi ata kwa mwezi mmoja toka ulipoo fanya tendo hilo
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

    Ndani ya mwezi mmoja kamili baada ya tendo la ndoa anaweza kuona kama ameambukizwa kwa kutumia vipimo vya hospitalini
  3. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

    Nimepima sija ukuta..siku ya saba baada ya tendo hilo
  4. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

    Iyo damu salam ipo wapi sasa. nielekeze vizuri
  5. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

    Haahha apan ninatak kujifunza tu leoo maan kuna watu wan bish uku kitaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

    Dalili za wiki la kwanza baada ya kupata ukimwi ni zipi
  7. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

    Ukifanya tendo la ndoa na mtu mwenye UKIMWI ukaenda kupima ukimwi ndani ya siku saba (wiki) je majibu utakayo yapata si sahihi au unabidi ukae muda mrefu ndiyo ukapime
  8. K

    JamiiForums Tanzania UKIMWI huchukua muda gani kuonesha dalili?

    Ivi jamam ukifanya tendo la ndoa bila kondomu kwa mda wa dakika mbili n mtu mweny ukimwi wakt mwanamke han mchukuko wowote ule n ww unao unaweza pata ukimwi .
Back
Top Bottom