Recent content by K123qa

  1. K

    KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya 'Booms' unakwamisha shughuli za Wanafunzi wa Chuo

    Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa. Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
  2. K

    UDOM bado hatujapewa pesa za kujikimu na bodi ya mikopo

    HESLB hawatutakii mema hata kidogo haiwezekani moaka leo hii mwezi umeisha lakini hamna pesa ya kujikimu mfano mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma nimefuatilia pesa lakini majibu ni kwamba tunapandisha kwa batch , kwa hiyo mkae tutawapandishia , inauuma sana mie wazazi hawana uwezo wa...
Back
Top Bottom