Recent content by K-leed

  1. K

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    kuifungia radio imaan ni kuchochea vurugu,kususia sensa ulikuwa ni msimamo wa waislam na ninavyojua mm radio imaan ni radio ya kiislam,hvyo hawakushabikia ila walikuwa wanatetea msimamo wa waislam!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Bungeni haongei, makanisani, kwenye mahafali na kwingineko msemaji mzuri!

    Hana imani na bunge ndio maana anaongelea huko,bunge lilimtoa kafara kwa kashfa ya kuzushiwa atawezaje kuzungumza huko?ninavyomfaham mm mh. Lowassa ni mpenzi wa elimu bora,kama angeendlea na wadhifa wake naamin shule za kata zingefka mbali kiubora,7bu alikuwa mtetez mkubwa wa uanzishwaji hzo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania hodi hodi wenye mji!

    jamani mbona ckaribishwi?mi mgeni japo cna kamba mguuni!
Back
Top Bottom