Recent content by jzm-teak

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi uongo unageuzwa kuwa ukweli mradi uwe na mpunga!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Kama Magufuli Angekuwa Hai 'Nisingerudi' tena CCM

    Inawezekana alienda ACT kwa kazi maalum kama ni shushushu!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Ahaaaaaaaaaaa!!!, ALIKUWA JEMBE HUYU JAMAA, yaani mpakasasa hawaamini kama amekufa!! Duh!!ahaaaaaaaa! Kumbe waliumizwa sana! KITENDO CHA KUMSEMEA MWENYEZI MUNGU ETI AMEAMUA NI KUMKEBEI MWENYEZI MUNGU!, Mwenye akili asingefurahi kifo cha Magu!, Angepata funzo kwamba magereza ni ya watu wote!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Felchesmi Mramba: Bwawa la JNHPP ni mara 10 ya bwawa la Kidatu lililojengwa kwa miaka 5

    Hakuna cha ufuasi, hapa ni usimamizi na kukitumia vizuri kinachopatikana, akili zetu ni mgando na kuaminishwa kuwa vitu fulanifulani mpaka wajomba watusaidie
  5. J

    JamiiForums Tanzania Felchesmi Mramba: Bwawa la JNHPP ni mara 10 ya bwawa la Kidatu lililojengwa kwa miaka 5

    Hapa mchezo huko hivi; pesa tuongeze kwenye mishahara na marupurupu mengine, pia tukamirishe miundo mingine ili tuoneka tunapiga kazi! Lakini kiukweli watu kufanya kazi kwa ajiri ya vizazi vijavyo hatuna mtizamo huo! Huyu anayesema bwawa dogo lilitengenezwa ndani ya miaka mitano, hili kubwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Mapenzi ni nini???!!!., what is love???! Hivi mapenzi yana formula?!! Hapa hapakuwepo na PENZI!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Nimekwambia tafuta gazeti la mwananchi e
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Mwenzio kapewa tuzo kwa kukubali yule mtangulizi wake kama si yeye hata hiyo tuzo asingepata!, Soma gezeti la mwananchi la tarehe 26 Mei 2022
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Nyerere na JPM ni viongozi waliojali wananchi wake hasa wale waliokuwa wananchi wa kawaida!, Wezi na mafisadi ndo wanawatukana na wana uwelewa mdogo!, Mwenyezi Mungu awarehemu na walale mahali pema PEPONI, AMINA
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Wanaokaa Chato hawateseki tena!, Mwamba aliacha neema tele!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Bado wewe unayejiita wa mjini unamkandia JPM? Hata Dar yenyewe kajitahidi kupunguza kero fulanufulani bado unamwita JPM alikuwa mshamba? Kweli wewe ni tatizo!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Unateseka ukiwa wapi ndugu?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi barabara: Wabunge wamkumbuka Hayati Magufuli

    Siwezi kupotosha maana upotoshaji ni uongo!, mapungufu sio huhalali wa kutukana na kupotosha!, sio lazima usifie !, UKIPOTOSHA MAANA YAKE UNAPIKA TAARIFA
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mkali: Yatokeayo sasa Bungeni na kwingineko ni 'laana' ya uchaguzi mkuu wa 2020

    Mwenye CHETI FAKE wanajijua!
Back
Top Bottom