Recent content by jzellah

  1. J

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Ili kujua ukweli wa Askofu na kujibu hoja yake ni vyema tukaangalia historia ya waisrael Tanzania kabla ya kuondoka kwenda RSA na bada ya hapo Tanzania iko katika hatua gani kimaendeleo. Bila kufanya hivyo mjadala wetu hapa hauna maana kabisa.
  2. J

    Mabilioni haya atalipwa NANI?

    Mimi ni member mpya hapa lakini nijuavyo ni kwamba TANESCO kuilipa DOWANS ni suala la kisiasa, haliwezi kusuluhishwa na mahakama bila ya wanasiasa kuhusika. Kwa maana hiyo mmiliki alikuwa anajulikana tangu zamani ila ngazi za juu huenda hazikuambiwa ukweli huo kwa kuogopa kupoteza unga. Tanesco...
Back
Top Bottom