Recent content by Jwendurani Kasurani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waliosomea fani tofauti na zile zinazotupa Michele Leo tukutane hapa

    Ndugu wanajamii forum, ebu Leo tujadili mwenendo wa Elimu ya Bongo na jinsi ambavyo Mahakama wanafunzi wa kibongo wanavyobahatisha maisha ili watoke. Anayeposti hapa ni Mwalimu wa Biolojia na Kemia ambaye ni zao la Udsm. Kiukweli nilitandika Kisawasawa Masomo ya Mchepuo wa Sayansi O-Level...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

    Nilimwelewa Zito vizuri sana ila huyu Dr kwa kweli sijamwelewa. Mimi sio Mchumi wala Sio Mhasibu, ila kwa nini watangaze faida halafu unapotoa gawio unaunganisha faida inayoonekana kwetu sisi tusio wachumi plus retained earnings ambapo sisi hatuzioni wala kuzijua. Nakupongeza Zito sababu upo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ubishi kuhusu pombe ni ishara ya ujinga katika kemia

    Ni kweli kuna Mambo yanafanyika kwenye imani zetu ni UJINGA wa kutufikisha Motoni
Back
Top Bottom