Recent content by JWANY DA KING

  1. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwamba muda si mrefu anaingia choo cha kike

    Sasa mwamba kwanini hukumla!!? Du umetuangusha Sana mkuu mbona tulisha kubaliana kwamba demu hata akiwa malaya vp usikatae ofa ya mbususu kikubwa zingatia kuvaa buti.
  2. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Shilingi 10,000 haitoshi kuacha nyumbani kwa familia ya mke na mtoto mmoja?

    Inategemeana na kipato Cha mtu kwa maisha Kama yangu, Chai Ni anasa mtoto atakunywa uji unga ninao wa mwezi mzima hakuna bajeti ya maziwa Happ Ratiba Ni ya Milo miwili tu lunch na dinner vitu muhimu vipo ndani mfano gesi, mchele, unga, maharage, mafuta, chumvi, sukari, dagaa,nyanya, vitunguu no...
  3. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Mwamba haonyeki, kaanza kuyakanyaga!

    Shule zimefungua lakini inaonyesha Kuna madogo hawajaenda shule!!
  4. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi hawapendi kuolewa na mwalimu?

    Naunga mkono hoja! Mimi mwenyewe Ni mwalimu, nanyumba nzuri, na usafiri wangu, na vitega uchumi pia! Heshima za kutosha mtaani, na mbususu nakula kimtindo ila sio kiviile nalinda haiba ya kazi yangu!! Watu Wana mawazo mgando Sana kuhusu kazi ya uwalimu, mwalimu ana kipato sawa tu na mfanyakazi...
  5. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Mimi najiuliza huwa harakati za toilet wanazimalizaje kwa makucha hayo!!
  6. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Akili kumkichwa!! Kaa kijeshijeshi muda wowote kinanuka!! Backup iwe karibu mkuu.
  7. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

    Sio mtu wa kagera wilaya flani huyo!!!?
  8. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

    Maisha yako yanathamani kuliko hiyo mali. Kwa maelezo yako inaonyesha hiyo ndoa itakusumbua Sana mkuu umeoa mtu asiye wa level yako, piga chini huyo Kama Ni mali zinatafutwa!!
  9. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

    Ndoa ni msalaba mkuu, madamu umeamua kuoa pambana na hali yako.
  10. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Sitausahau usiku wa Ngwasuma nikiwa na pisi kali kutoka Arusha

    Duu kweli ulikutana na mzee wa ngwasuma mkuu.
  11. JWANY DA KING

    JamiiForums Tanzania Nampenda huyu dada lakini huu ni mwaka sasa hakuna majibu

    Kwa hoja hiyo ya tatu, nakushauri tafuta hela Kwanza mkuu.
Back
Top Bottom