Recent content by Jvei

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

    Hello best people. Achana na mambo yakuuliza kila siku mtaji wa shilingi ngapi unatosha. 3m+ 5m+ 8m+ 10m+ 15m+> Hapa Unapaa kabisa. Tafuta maarifa yakuwezeshe kufanya biashara. Uzoefu utapata ukishaanza. The earlier, the better! Hizi hapa ni hatua chache za kufanikisha kwa urahisi mchakato huu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

    HABARI WANA JF. Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu, kukushauri na au hata kuku mentor sio bure. Ni garama. Kwa wale wanaotaka huduma za bure karibuni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya pili)

    Ndio. Ukubwa wa mzigo pia huchangiwa na aina ya spea unazotaka+kampuni(manufacturer)
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya pili)

    Mzigo wa maana ni neno tata. Unamaanisha nini?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Inatokana Hakuna bei elekezi. Inatokana na aina ya spea, kampuni. Milioni 60 mpaka 200+
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Umefika. Karibu sana
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Ushauri mzuri, nitaendelea kuufikiria nakuona kama naweza kuufanyia kazi. Karibu uendelee kujisomea!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Naam. Ikiwekewa mikakati mizuri na uwekezaji. Hata hivyo biashara zote zinalipa, ila kila mmoja huchagua anayoona inafaa zaidi!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Bado. Mada ni pana sana haiwezi kuisha haraka hivyo. Karibu uendelee kutufwatilia
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Kuhusu uhakika wa biashara, mambo ya msingi ya kuzingatia na umuhimu wa fundi!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na Bajaji sehemu ya nane Inaendelea

    KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI? ⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine? 👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Saba...)

    BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI, UZOEFU, MAHITAJI NA MIHEMKO YA JAMIII. Habari ndugu msomaji, Siku za karibuni kumekua na muamko mkubwa sana watu wengi wakivutiwa sana na biashara biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Hata hivyo mvuto huo unekuwa na changamoto kadhaa, mafanikio kwa wenye...
Back
Top Bottom