Recent content by Justine nassari

  1. J

    JamiiForums Wakiondoka CHADEMA wamenunuliwa. Je, wakiondoka CCM kwenda CHADEMA wamekopeshwa?

    Bac nao wao pia walinunuliwa na LOWASA Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
  2. J

    JamiiForums Wakiondoka CHADEMA wamenunuliwa. Je, wakiondoka CCM kwenda CHADEMA wamekopeshwa?

    Ingekuwa hii issue ni madiwani wa *ccm* wanahamia *chadema* ingekuwa inaongelewaje? Niambie vichwa vya habari kwenye magazeti ya *Tanzania Daima* na *Mwanahalisi* vingesomekaje?? Si mngeandika kwa mbwembwe *MAGUFULI ASUSWA*..... *CCM YAZIDI KUPUPUTIKA* sasa mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu...
  3. J

    JamiiForums Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Hello, nimesikitishwa na lawama za mh Lema ktk tukio la kisikitisha ktk jiji la Arusha watanzania bado wanamajonzi kwa kupoteza watoto wao zaid ya 32 haijalipita hata siku moja mbunge Lema anaandika kulaumu kunyimwa nafasi ya kutoa salamu za rambi rambi.... Swali hivi kinana angekuja amevaa...
Back
Top Bottom