Sisi wa mbali hatujamsikia hiyo radio haifiki huku lkn tunamfahamu huyo jamaa hajui kujibu maswali na hakawii kuizungumzia CHADEMA badala ya kujibu maswali.
Mtwara watasaidia maeneo mengine waamke tumechoka na siasa zao za kujinufaisha wenyewe, watu wa kusini msilegee mimi nipo Geita huwezi kuamini hata maji hamna barabara siwezi kusema ni aibu angalieni msije mkawa kama huku mmeshtuka mapema hivyo msilegee.
Tusiwe waropokaji wazuri bali tuwe wachangia hoja wazuri Hukumu ya Lema ina walakini kwa sababu muhusika mkuu hajalalamika Kingine tuangalie na garama jamani fedha hizo zingefanya mambo ya maendeleo. Bado taifa halijawa na uongozi imara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.