Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA






(Sheriaya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,






Toleola 2012, Vifungu 5, 6 na 7)






______________________________






UONGOZI WA JUU




1.Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA- Mwenyekiti




2.Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI - Makamu Mwenyekiti






WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA




1.Prof. Mwesiga L. BAREGU


2.Nd. Riziki Shahari MNGWALI

3.Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI
4.Nd. Richard Shadrack LYIMO
5.Nd. John J. NKOLO
6.Alhaj Said EL- MAAMRY
7.Nd. Jesca Sydney MKUCHU
8.Prof. Palamagamba J. KABUDI
9.Nd. Humphrey POLEPOLE
10.Nd. Yahya MSULWA
11.Nd. Esther P. MKWIZU
12.Nd. Maria Malingumu KASHONDA
13. Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)
14.Nd. Mwantumu Jasmine MALALE
15.Nd. Joseph BUTIKU


WAJUMBE KUTOKA TANZANIA- ZANZIBAR

1,Dkt. Salim Ahmed SALIM

2.Nd. Fatma Said ALI

3.Nd. Omar Sheha MUSSA

4.Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5.Nd. Awadh Ali SAID

6.Nd. Ussi Khamis HAJI

7.Nd. Salma MAOULIDI

8.Nd.
 
Wengi hamjapendekeza jina la shivji ndio maana hajawekwa kwenye team, wengi mnaolaumu hamjawahi hata kutuma , iwe barua pepe, barua nk

Kama hukupendekeza plz shut up
 
Prof.Palamagamba Kabudi pia yumo?..wonder kamzidi kete Prof.Issa Shivji..

From: Zitto Zuberi Kabwe ‏ @zittokabwe
Judge Warioba Mwenyekiti Tume ya Katiba. Judge Ramadhani Makamu. Mvungi ndani, Kabudi ndani, Mkwizu ndani and ofcourse Baregu. Happy
Zitto alishatamka Warioba,Salim na wengineo kwenye hiyo tume ni marafiki zake labda anadhania kigezo cha umri wa kugombea urais kinaweza kuondolewa
 
Taarifa za kuaminika toka Magogoni ni kuwa Rais Jk ameteua tume ya katiba mpya ambayo itaongozwa na Jaji Joseph Warioba!


Katika timu hiyo wapo
Profesa Mwesiga Baregu,
Dk Salim Ahmed Salim,
Ndugu Joseph Butiku,
Dk Sengodo Mvungi,
Esther Mkwizu,
Yahya Msulwa,
Said El Maamry


uteuzi ulizingatia nini? to me it's fair.
 
Wazanzibari mbona ham2onyeshi ukiondoa jaji ramadhani? Tupeni 2one jinsi combination ilivyo,kimsingi kwa uteuzi huu muungano utadumu lkn ukiona shamuhuna yumo ujue muungano uko hatarini
 
Mbona waislamu wengi sana? ukijumlisha wa Zenji ambao wote ni wa islamu na wabara utakuta wamevuka nusu ya Timu yote,

Haya ndo mawazo mgando daraja la kwanza kbs, KWANI WALIKUWA WANATAKIWA WAJUMBE WA KUFUNDISHA BIBLE STUDY?? AU KUFUNDISHA QURAN?? FUNGUKA WEWE, ISHU YA DINI ZA WAJUMBE KWENYE JAMBO NYETI KAMA HILI SIO KIGEZO HAPA. NIMEKUDHARAU SANA..
 
Aka ka-ugonjwa kanazidi kututafuna pole pole, na kibaya zaidi hatujuhi kama tunaumwa...Dini na Udini. Eti waislam wengi, mbona wahindu hawalalamiki kukosa mwakilishi?
 
Hiki ndicho kikosi kizima cha tume ya katiba iliyoteuliwa na JK

UONGOZI WA JUU

1.
Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA
- Mwenyekiti
2.
Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino
RAMADHANI

- Makamu Mwenyekiti


WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA

1.
Prof. Mwesiga L. BAREGU

2.
Nd. Riziki Shahari MNGWALI

3.
Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI

4.
Nd. Richard Shadrack LYIMO

5.
Nd. John J. NKOLO

6.
Alhaj Said EL- MAAMRY

7.
Nd. Jesca Sydney MKUCHU

8.
Prof. Palamagamba J. KABUDI

9.
Nd. Humphrey POLEPOLE

10.
Nd. Yahya MSULWA

11.
Nd. Esther P. MKWIZU

12.
Nd. Maria Malingumu KASHONDA

13.
Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)

14.
Nd. Mwantumu Jasmine MALALE

15.
Nd. Joseph BUTIKU



WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - ZANZIBAR

1.
Dkt. Salim Ahmed SALIM

2.
Nd. Fatma Said ALI

3.
Nd. Omar Sheha MUSSA

4.
Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5.
Nd. Awadh Ali SAID

6.
Nd. Ussi Khamis HAJI

7.
Nd. Salma MAOULIDI

8.
Nd. Nassor Khamis MOHAMMED

9.
Nd. Simai Mohamed SAID

10.
Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA

11.
Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN

12.
Nd. Suleiman Omar ALI

13.
Nd. Salama Kombo AHMED

14.
Nd. Abubakar Mohammed ALI

15.
Nd. Ally Abdullah Ally SALEH



UONGOZI WA SEKRETARIETI

1.
Nd. Assaa Ahmad RASHID
- Katibu
2.
Nd. Casmir Sumba KYUKI
- Naibu Katibu

Kwa kuanza tu, hao wawili kwenye red walikataa mgombea binafsi. hakuna katiba mpya hapo ni upuuzi
 
Wacha wajihashue wenyewe sisi huku hatuna habari na hili. Tunachotaka kwa sasa ni JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR kwanza, Shengesha zenu mutajuana wenyewe! Fanyeni mulete hayo makaratasi tuyararue!
 
Hapa tuombe kwa Mungu wajumbe hao wote wawe na nia njema kwa ajili ya mustakbali wa TANZANIA NJEMA.

tUKIANZA na mitazamo ya idadi ya wakristo v. waislam, au ushwahiba wa JK na wajumbe tutaachana njiani na hatutafika kule tunakotaka kwenda.

Mungu IBARIKI tuME ya KATIBA.
MUNGU ibariki TANzania.
 
Back
Top Bottom