Recent content by justine massana

  1. justine massana

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Tangamano, Tanga: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli

    Labda wewe ndo ukamzomee ccm lakini Tanga sehemu ya ccm na mimi niko tanga na ndugu yangu uweunapuguza uongo
  2. justine massana

    JamiiForums Tanzania Lowassa chukua hatua ya kusafisha dhamira za watu-(wanaukawa) kuokoa jahazi

    Maswala hayo ya ushaidi mbona hakuyasema wakati anajiuzuru mbungeni kama kunamtu anamhuona ni fisadi apeleke mahakamani mpaka amekaa miaka minane ndo leo anakumbuka kusema maswala ya ushaidi to lett
  3. justine massana

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuwa Lowassa hakupata wadhamini milioni moja laki sita

    Hizo saini ni za kugushi maana aliyenyeka kupata saini laki nane akiwa ccm iweje hapate sain milioni laki sita harakaharaka hivyo bila kuzunguka mikoa na hao wadhamini aliwapata wapi wewe mtoto wakiume acha uwongo huyo jamaa kagushi saini na mbowe.
  4. justine massana

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuwa Lowassa hakupata wadhamini milioni moja laki sita

    Kama unafkri ccm ni nyuma kwa nyuma kwani nichama gani kinakuongoza mpaka sasa au unajitia kiherehere kwa lowasa ili akupe nini mpaka sasa ameshindwa kuwa saidia wamasai wa kwao mpaka leo wanauza ungoro mwanza.
  5. justine massana

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Lowasa ni mtu wa visasi na ndo maana hapo alipo amefurah sana anataka uongozi haraka haraka ili akalipize.yani magufuli ikulu mtindo mmoja.
  6. justine massana

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Magufuli ndiye raisi kwa sababu ya msimamo wake na nchi hii inataka mtu mwenye mahamuzi kama magufuli
  7. justine massana

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Magufuli si wamakabila kama lowasa sasa angalia hata anaemlinda au maafisa usalama ni wamasia
  8. justine massana

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Magufuli anatosha sana na makudi pia si mbabaishaji kama lowasa na lowasa ndiyo wameivurunga ccm kwa mpingo yao mimbovu na leo analalamika au kwasababu anataka sifa kuwa raisi
  9. justine massana

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

    Yani hata mimi ananikera sana yani yuko kimya sana bila mpango wowote jamaa wanashusha matusi yeye kimya tu najamaa wanazungumza mpaka uwongo.
  10. justine massana

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

    Weweeeeh hacha hiyo wachukuwe nchi ipi hiyo
  11. justine massana

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa azidi kuwasaliti na kusalitiwa na wapambe wake!

    Sophia simba nakupongeza kwa kujirudi kwako hatimae umekua kitu kimoja na magufuli.
  12. justine massana

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa azidi kuwasaliti na kusalitiwa na wapambe wake!

    Lowasa ni vema hawe mtulivu tu kwani haya ni maswala ya siasa kwani tumeshapata mtu ambaye ni wamsimamo isingekua vyema kuendelea kuleta marumbano na makundi kwani hayana maana kwa wakati huu mugumu ambao tunapita kwenye maisha magumu ya Dola kuwa juu.ushauri kwa mh.lowasa amuunge tu magufull...
  13. justine massana

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Uwezo wa watanzania kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana

    Kwakweli huyo jamaa bado ajaelewa anachokisema maana hana fact au data za ufkiri mdogo wawaTanzania akiwemo na yeye mwenyewe pamoja na refers alipozipata hizo data za Watanzania zinazoonyesha uwezo mdogo waWatanzania katika kufikiri.
Back
Top Bottom