Im sure cos mepigiwa cm na my mom abae yuko huko kibiashara then kuna watu kadhaa wamejeruiwa!! Na nimemfaham mchngj kwa jina moja Matayo ambae sasa n marehem
Hali ya usalama imezidi kuwa mbaya kufuatia vurugu zinazoendelea huko buselesele Geita ambazo zinausishwa na mgogoro wa haki ya kuchinja nyama, ambazo zimeghalimu uhai wa mchungaji m1 kufuatia kupigwa vibaya!
Ikumbukwe kua naibu waziri wa elimu mh. Mulugo alisistiza kua ajira za walimu zitatolewa mnamo mwezi wa kwanza mwanzoni na akadai kua kila ki2 kiko tayari wakati akihojiwa na kipindi cha dkka 45 cha Itv, maneno kama hayo aliyasema kwny mahafali ya chuo cha TUMAINI. Hadi leo hii hakuna chochote!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.