Recent content by Justice Cardozo

  1. Justice Cardozo

    JamiiForums Tanzania Hivi nani competent kati ya Tundu Lissu Vs Peter Kibatala?

    Wajibu mkubwa wa mwanasheria akiwa kama ofisa wa mahakama,ni kuiongoza mahakama kufikia maamuzi sahihi, ima iwe kwa mteja kushinda kesi au kupoteza, mawakili hawaendi mahakamani kushindisha wateja wao, hivyo kupima ubora wa wakili kwa kipimo cha idadi ya kesi alizoshinda ni kinyume na maadili ya...
  2. Justice Cardozo

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Mgawanyo wa mali zilizopatikana katika ndoa utategemea na mchango wa wahusika katika kupatikana kwa mali hizo, mali ulizo chuma baada ya kutengana nae kienyeji hazitamuhusu, zitamuhusu kama tu ataweza kuithibitishia mahakama alichangia nini katika kupatikana kwa mali hizo(mchango unaweza kuwa wa...
Back
Top Bottom