Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza umuhimu wa vyombo vya ulinzi na usalama kutochukulia amani ya nchi kama mazoea. Anabainisha kuwa majaribu yaliyopita yametoa mafunzo, na hivyo hakuna taarifa yoyote ya kiashiria cha hatari inayopaswa kudharauliwa, bali inatakiwa kufanyiwa kazi kwa haraka...
Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza kuwa amani na utulivu uliopo leo ni matokeo ya kazi ya jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vyetu vingine vya ulinzi na usalama.
"Kwa kuwa hii ni mara yangu ya kwanza ya kuonana na jeshi la polisi tangu tumemaliza uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka jana...
Wakuu
Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anawabatiza watu wenye mitazamo mbadala kama "wasaliti" na "choroko zisizoiva," huku akitumia mifano ya kidini kumweka Rais kwenye nafasi ya asiyekosea.
Waziri Katambi ameyasema hayo katika hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza alipotembelea Makao Makuu ya TFF, Ilala, Karume
"Tumeruhusu kila aina ya usafiri kuingia barabarani. Nafikiri mliwahi kunisikia wakati fulani nikasema... nilitania tu, lakini nilikuwa namaanisha. Ni ule utani wa kweli kweli. Nilikuwa...
Wakuu
Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mkoani Iringa anasema:
Ujasusi wa dunia hii, ameufuatilia kwa miaka mingi sana. Anaijua michezo mingi.
"Najua haya yaliyotokea Ghana, najua yaliyotokea Congo, najua yaliyotokea Angola, na... najua maeneo mengi yaliyowahi kutokea. Tanzania si alikuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchukua hatua za haraka dhidi ya mkandarasi wa mradi wa kituo cha mabasi wilayani Chunya, kampuni ya MJ Contractors, kutokana na kuchelewesha utekelezaji wa mradi huo.
Amesema...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
"Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
"Kabla 2029, serikali tunaiipendekeza iunde kamati ya wataalamu wa katiba ambayo itakuwa na jukumu la kupitia katiba iliyopo, rasimu ya katiba ya tume ya mabadiliko ya katiba, katiba inayopendekezwa ya mwaka 2014, ripoti ya tume mbalimbali na kamati na vikosi kazi mbalimbali.
Baada ya kufanya...
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Tume imefanya...
“...vilevile inawezekana kulikuwa na majeruhi ambao waliamua kutibiwa nje ya mfumo rasmi, na wakafariki bila taarifa zao kufikishwa panapostahili.
Tume pia ilipokea ushahidi na madai kuhusu watu kupotea au kutopatikana tangu wakati wa uchaguzi mkuu. Kwa kuzingatia ufafanuzi uliotolewa kwa idadi...
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi mkuu 2025 anasema hayakuwa maandamano ya amani bali ni ya ghasia.
Anasema
"Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 25, hayakuwa maandamano ya amani bali yalikuwa ghasia yaliyoambatana na matokeo ya uvunjifu wa amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.