Recent content by Just Nana

  1. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Kuna uzi unafanania na huu mesimulia hili my dear, just in summary nilipata ka underage kahendsome balaa, zamani I had weekness kwa wanaume ambao Wana muonekano mzuri, siku hizi kikubwa upumue tuuu, jamaa alianza poa ila alikuja kunigeuza kitega uchumi, plus vipigo na madharau kibaooo, na...
  2. Just Nana

    SIMULIZI: "The Godfather"

    Nitaandika, sijapata utulivu, halafu sijawahi katisha story labda sio mfuatiliaji wa story zangu....tutamalizia siku si mingi, mepita tu kuwasalimu
  3. Just Nana

    SIMULIZI: "The Godfather"

    Hahahaha....haya bhana
  4. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Nilimzidi 8 years mkuu, kwa sasa am dating an older guy...nilipigwa tukio zito sana na cocomelon nimeshasimulia
  5. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Yaaani[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
  6. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Ukizingua unaambiwa huna adabu, kwenu hamna wakubwa...[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
  7. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Hahahahah.....nimecheka jamaniiii
  8. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Umeongea mama, mi nampima mwanaume jinsi anapambania familia yake, jinsi anajua majukumu yake, urefu wako na usix packs aisee havileti ugali mezani wala ada za watoto, hao watoto wakiwa na sura ngumu au muonekano wa kawaida so long wamesoma na mewapambania kuwajengea bright future watapata tu...
  9. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Yaaaap ...ajimudu maisha yake...nyonyo saa sita hana na hela hana,sikushauri mdogo angu
  10. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Dada ukitongozwa na ukoo wa Wasira utakataa? Wakati unajibu tafakari na opportunities watoto wako watapata
  11. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Tafuta hela mkuuu,Joti hana hivyo na ana mke na michepuko kadhaa
  12. Just Nana

    Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Kikubwa be a man kwa hiyo relationship, usitumie kigezo cha umri kama fimbo, kitu kidogo unaanza lawama, sijui unanidharau sababu umenizidi umri, mara unanidharau sijui sababu umenizidi pesa, ulifahamu hayo kabla hujaanza hayo mahusiano, You had a choice before dating matured woman... Just love...
Back
Top Bottom