Kuwa na silaha nzito ni sahihi cos km unafuatilia vizuri jeshi la polisi ni jeshi linalolinda raia na mali zake lakin pia ndiye mdhibiti wa matukio ya ndan km ugaidi ikishindikan ndo wanasaidiwa na jeshi la wananchi kwahiyo zile zinaitwa zana za msaada lazma ziwepo ni kwa tahadhari kwa mambo ya...
Sikatai wana polwa lakn mm mjomba naona tu umekosa uzalendo nao lkn sikufichi naamin kazi wanazofanya mm nawew wala hatufikirii kupolwa silaha ni miongon mwa mapungufu kila idara haiwez kuwa strictly perfect lakn mjomba ukiona haujaibiwa au haujasikia mlio wa mashine ujue kaka police kakesha
Nimeangalia comment lakin kwa kidogo silisapot cos tunaona jins gan askari wanavyopambana na majambaz, hiv nyie mmeshawah kwenda front kujibzana na majambaz? Ebu cheki ilivyokawa mwanza na sasa, cheki ilivyokawa arusha na sasa, cheki dar na sasa kwa hili sisapot coz japo ndio wanamapungufu mengi...
Tareh 28 napanda gari arusha to dar 29 to lindi najua tareh moja sept.itanikuta pande za nanjilinji nimekaa nicheki ktk magrup ya wasap kujua nan kaondolewa jino ktk mapambano dhidi ya wasimamisha ukuta na wavunja ukuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.