Recent content by juniorhd

  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama alivyoelekezwa. Hata hivyo, alipofika katika kituo hicho, aliambiwa kuwa kituo kina magari machache na hivyo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeitwa kazini utumishi kama afisa usafirishaji, baada ya kuripoti naambiwa nafasi yangu kapewa mwingine sababu ya uhaba wa magari

    Nilitumiwa barua Julai 27 kuitwa kazini utumishi wa umma nafasi ya afisa usafishaji daraja la pili nimeripoti mapema na wao walisema ndani ya siku 14 niwe nimeripoti lakini niliwahi mapema kuepuka usumbufu nimefika naambiwa nafasi hiyo ina mtu tayari toka muda na hawawezi kuongeza mtu sababu...
Back
Top Bottom