Recent content by JuniorDarilson_

  1. JuniorDarilson_

    Ps5/Ps4 Digital Games Installation

    Wananunulia wapi hizo account za wizi?
  2. JuniorDarilson_

    Ps5/Ps4 Digital Games Installation

    Habari Wakubwa! Naitaji kujua hii biashara ya playstation digital games installation ni inafanyikaje?
  3. JuniorDarilson_

    Kasi internet ya Vodacom

    Airtel ile ya 70k je unlimited?
  4. JuniorDarilson_

    Kasi internet ya Vodacom

    Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
  5. JuniorDarilson_

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu hio menu ya unlimited unaenda wapi? Mimi nina line ya super corp
  6. JuniorDarilson_

    Nahitaji kujua experience ya aliyewahi kutumia Halotel Fiber na 4g ile ya 50,000

    Habari naitaji kujua experience ya aliyetumia halotel fiber na 4g ile ya 50,000 ya halotel pia...
  7. JuniorDarilson_

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Unachezaga fortnite
  8. JuniorDarilson_

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Unatumia isp gani mkuu?
  9. JuniorDarilson_

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Ishu ya exitlag huwezi kutumia kwenye console ni pc tu ndo maana nashauri express au nord vpn unaweza kutumia kwenye pc, ps5 na xbox pia
  10. JuniorDarilson_

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Jknsi ya kuchek ping ya fortnite hiyo apo link fuata maelekezo https://www.epicgames.com/help/en-US/c-Category_Fortnite/c-Fortnite_TechnicalSupport/understanding-latency-or-ping-in-fortnite-a000084889
  11. JuniorDarilson_

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Kama untaka kuvhek ping gza games nendakwenye website zo hio sio njia ya kuchek ping za games mkuu https://www.epicgames.com/help/en-US/c-Category_Fortnite/c-Fortnite_TechnicalSupport/understanding-latency-or-ping-in-fortnite-a000084889
  12. JuniorDarilson_

    6 Months experience na TTCL Fiber

    South Africa kuna washkaji zangu wa epic friends wanapataga ping 200 na wao na huku bongo kuna mwamba ye anatumia zuku ile ya 20mbps anapataga ping nzuri tu ya 85 mpaka 100ms. So nilichojifunza kwenye kupunguza ping ni usitumie kwanza wifi kwenye maswala ya gaming, Tumia ethernet cable cat6 au...
  13. JuniorDarilson_

    6 Months experience na TTCL Fiber

    Unataka kuchek ping ya gaming coz kama ni fortnite sio njia hiyo ya kuchek ping.
Back
Top Bottom