Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka sehemu mbalimbali. Jisomee na uone usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone na utoe maoni yako kuhusu ukweli wa tafiti hizi.
(1) Iwapo wewe...
CHUKUA TIPS ZIFUATAZO KUHUSU MAHUSIANO NA NDOA.
1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile unatakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao.
2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakaekuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakaekimbilia kutaka ngono pekee...
UNAJUA NI KWANINI
WANAWAKE WENGI HUPENDA
WANAUME WAPOLE...?? SOMA
HAPA NIKUJUZE..
Ukimuuliza binti yeyote mwenye
ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za
mume ampendae,sifa ya "awe
mpole" itakuwa ktk orodha ya
mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi
sifa hii imetajwa na wasichana 74
ikiwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.