Recent content by Junior King

  1. Junior King

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Yes kwenye taasisi yes ni PMGSS 4/1 au kama ulivyoandika PMGSS 4.1
  2. Junior King

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Si ndo kauliza swali hapo kauliza "PMGSS 5/1 ni kiasi gani? Ndo nikamjibu hujaelewa wapi?
  3. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Sasa we jamaa unajikuta mwamba in fact narudia kusema tena bado ni mshamba na hujui kitu jamaa aliyesema hapo juu kasema a Narudia tena before hujajibu do some research sasa je wewe ulimuuliza mtoa hoja kutaka kujua kua ameajiriwa Tamisemi au taaisis nyingine inayotumiaPSF au TPF no? Yes kuna...
  4. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Yeye ndo ameanza kukejeli na anataka kuamisha watu kufanya isivyo utaratibu sheria iko wazi yeye anasema una initiate kama nani nimemtumia hapo juu waraka wa serikali unao mpa haki mtumishi kuandika kibali yeye mwenyewe kwenda kwa katibu mkuu kupitia tu kwa mwajiri Mtu anatoa mifano aliyofanya...
  5. Junior King

  6. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Kwamba unauliza swali kua "uombe kibali moja kwa moja we nani? 😂😂 muulize hilo swali Katibu mkuu ndo maana nakwambia hujui sasa sheria inasema hivyo then unaniuliza mimi waulize waliotunga sheria maana mpaka leo likizo yako anapitisha mwajiri wako sasa siwez kukuliza kua Likizo yako anapitisha...
  7. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    We jamaa una akili ngumu sana huoni Logic? Do you know even the meaning the word logic it self? Logic ni ku weigh vitu kadhaa uka assume what if x is true and what if x is not true? Deductively na inductively wewe unachosema ndio hakina logic sababu ume base kwenye experience yako ambayo kwa...
  8. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Nakukosoa wewe unae sema ni kuombewa tu na sio kujiombea wewe ulikua unasema moja tu kwamba ukiajiliwa na taasisi kama ajira mpya HR wa taaisis hiyo ndio akushughulikie na wewe hupaswi kuji shughulikia nikakwambia ikiwa HR asipikupa ushirikiano unaruhusiwa kwa mujibu wa sheria kuomba kibali cha...
  9. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Unaongea kwa akili zako tu kutoka kichwani au unaongea kwa mujibu wa sheria? Usichanfanye mazoea na sheria kanuni za utumishi wa umma ktk circulating letters zimeweka bayana mtumishi kujiombea kibali au kuombewa kibali na kila moja ina taratibu zake so mimi naongea sheria inavyosema wewe unaleta...
  10. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Sidhan kama akili yako inafanya kazi sawa sawa ofisi za umma zipo ili zituhudumie pale tunapopata vikwazo unadhani kwa katibu mkuu nimeenda kunywa kahawa au kupiga soga na pili ujue vikwazo na changamoto zinatifautiana kutoka taasisi moja kwenda nyingine usichukue mazingira yako kama bench mark...
  11. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Ndugu yangu kuhama kuna pande mbili taasisi inaweza kukuandikia au wewe mwenyewe ukaandika hapa tunasema ku initiate sasa we unapenda ubishi mimi nimeenda Ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi na utawala bora nimeonana na katibu mkuu Dr Juma alinipa utaratibu mzuri kabisa akasema Taasisi yako...
  12. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Mzee point yako ya awali hai make sense eti kwamba unaweza ukawa umeenda na barua harafu HR hajui ujio wako are you serious? Ki vip hajui ujio wako ilihali umepata ajira kwa kibali rasmi na bajent yako ipo kwenye ikama ya ajira mpya na sio ya wanao hamia? HR ame request nahitaj mtu wa namna hii...
  13. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Barua sio kibali barua ni kua umepangiww kituo cha kazi kibali ni kua ulipopangiwa kituo cha kazi ulikutww tayari una kazi nyingine so Katibu mkuu ndio mwenye mamlaka ya kukutoa uliko kukupeleka unapoenda kwa kibali ambacho nakala itatumwa ulipokua unafanya kazi unapokwenda na Hazina na ya kwako pia
  14. Junior King

    JamiiForums Tanzania Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Sio kweli mimi nimepata ajira mwkaa huu mwezi wa 1 taratibu zimebadirika toka 2021 mishahara inahamishwa na ofisi ya Rais Mwlenejiment ya utumishi na utawala bora so kuna hatua za kufata imenichukua miezi mitatu kukamilisha na jana barua yangu imefika kutoka ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi...
Back
Top Bottom