Recent content by junior 12

  1. J

    Laptop for sale 180,000 only

    Upo wap?...weka picha then inakaa na chaji muda gani?
  2. J

    Laptops and Mobile phones for sale

    Brand new or used?....weka price watu ndio wakutafute.
  3. J

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Sorry John Deer,unaweza kufahamu mwisho wa mavuno ya mpunga ni lini?...nilikuwa na mpango wa kununua gunia kadhaa but nimekwama so nilikuwa nataka kujua mwisho wa mavuno ni lini ili nijipange kabla bei haijapanda zaidi.
  4. J

    Biashara kati ya Tanzania na China,

    Biashara ni nyingi ambazo unaweza kufanya btn China na Tz,Then market ni kubwa sana especially kwa eletronics na mavazi ya kina dada....The issue is kupata mtu mwaminifu Tanzania ambaye atakuwa ndio buyer wa hizo products.But for the time being weka price za commodity ambazo demand yake ni kubwa...
  5. J

    Msaada jamani...Mwenye kuelewa jinsi ya.....

    Hapana mkuu,..Then sifahamu hiyo hard format kabla sijaiwasha naomba unielekeze nijaribu kufanya hvyo.
  6. J

    Msaada jamani...Mwenye kuelewa jinsi ya.....

    Wanajamvi naombeni msaada ni jinsi gani naweza kurestore nokia express music 5530....nimejaribu kuingiza *#7370# then nimeweka password ya 1-5 but imeshindikana inaniambia code error nikajaribu kuomba password kwa mtu aliye nipa but na yeye amesahau......Naombeni msaada wenu.
  7. J

    Msaada antivairus ya Simu

    Ni vizuri kama kama ukadownload kutoka kwenye app store ya cmu yako maana hapo unaweza ukapata ambyo inakufaa kwa hyo 10mb coz niniyo tumia mimi kwenye cmu ina 18mb.
Back
Top Bottom