Mlipo mpokea Lowasa CHADEMA mlimuona ni Lulu sasa ndio mnamuona fisadi acheni unafiki wenu , kijana hauna jema , basi mara nyingine tafuta maneno ya kuogea tukuone una maana .
Haya unayoyaandika hapa unaweza kuyathibitisha pasipo na shaka aina yoyote au unaandika kwa ajili ya kutaka kujifurahisha nafsi yako?. Nakuomba sana kama hujui jambo usiandike uzushi maana hautakusaidia zaidi ya kuonekana mbwiga please.
Aliyenunua Korosho hizo ni mtanzania mwenzetu anakaa Kenya na huwa anafanya biashara hiyo ya korosho kwa kuwagawia watanzania wenzetu fedha kuja kununua hizo korosho, alivyoona hali ni ngumu korosho imebanwa na serikali akaja kupambana hapa kwa kumuona mzee baba kama unakumbuka hapo kati alikuja...
Tunachapa kazi tunaishi toka Enzi,hakuna serikali inayowekea watu hela mifukoni, watu wanalima wanapata fedha , cha msingi ni kuwa mbunifu ni nyie tu BAVICHA mnaoleta uzushi kuonyesha nchi iko hovyo wakati sio kweli, kama ulikuwa mnufaika wa huko nyuma jua maisha ni kuchapa kazi.
Hivi wewe uko nchi gani nakushangaa sana viwanda huvioni au unajitoa akili , umefika Mbeya Mwanza , Pwani ,Tanga , Arusha ,Mwanza n.k ukaona viwanda vinavyofufuliwa na kuanzishwa . Unajua North Mara kuna mgodi mpya wa barick unaanza soon. Ni maajabu haya mtanzania unaongea uongo kweupe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.