Recent content by Jundiki

  1. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Ni biashara nzuri sana kama utakuwa Makini sana, ni biashara ambayo inataka umakin wa hali ya juu sana maana inshu ya kuibiwa n 30% kutapeliwa 20% na kuchelewesja malipo 40% na 10% faida aikisimamia mtu. USHAULI WANGU ¹. Kaa mwenyewe vitengo nyet kama uhasibu, manunuzi na kutoa mzigo. Lengo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Aaaaaah shinyanga mjini mpaka kerooo. Ratiba n j3 na ijumaa lakin kwa wiki unakatika zaid ya mara 3 halafu ratiba ya muda haijulikani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kg 5 ya kukanda unga wa ngano inauza bei nzuri.

    Na mashine ya kg 10 ina bei gani
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu au kampuni inayouza mashine za kufungia katoni

    Nataka kwaajiri ya kufungia mafuta ya kupaka, hivyo sijajua ukubwa wake kati ya manual na automatic na uwezowake ktk kuzalisha
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu au kampuni inayouza mashine za kufungia katoni

    Nataka hizo za kufunga na nailon
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu au kampuni inayouza mashine za kufungia katoni

    Habari wana JF, M MGENI humu japo nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbali mbali kutoka kwa wanachama mbali mbali. nina swali kama kuna mtu au kampuni inayouza mashine za kufungia katoni (MF katoni za maji,juice,mafuta ya kupaka nk) kama yupo naomba msaada tafadhari.
Back
Top Bottom