mamii Christine kutafuta mtu aingie chini yako ndio biashara yenyewe ni kama ilivyo kwenye office ni lazima ufagie au u process files ndo mshahara ulipwe. huwezii kaa chini kisha utegemee hela mwisho Wa mwezi huo ni wizi. na kwanza kampuni kama hiyo itakufa tu. na ndio maana inaitwa biashara ya...
mavado this is not umachinga. huzunguki na bidhaa na kuuza bidhaa ni kama faida nyongeza tu usikose pocket money mfukoni. ila nikuulize huna ndugu wenye matatizo ya mifupa, pressure, INI, ngozi? hautumii dawa ya mswaki nyumbani? perfume? lotion? sio mpaka ujitangaze. unaangalia mahitaji ya walio...
mpendwa Christine Hi biashara mtaji wake in mdogo mno ukiamua kuifanya. mtaji wake ni 750,000/= na kwakua waeona sio wote wanao weza lipa hiyo hela kwa mkupuo hivyo wameamua ruhusu watu kulipa nusu na kisha kumalizia nusu mwezi unaofata. tuseme januari unalipa 375,000/= na kumaliza nusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.