Recent content by jumbe100

  1. J

    Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

    kama unatembea tu mjini ni sawa speed ndogo inatosha ila kama unaenda mbali inaboa sana yani unaenda unatoka dar to mbeya au mwanza ipo kwenye 70 maximum ni kaz sana bora tu upande basi Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  2. J

    Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

    ukiongeza speed rpm pia inaongezeka so lazima ubalance speed au rpm good consumption inakua kwenye 2rpm ambapo apo unaongelea speed ya 70 mpk 80 ukizid apo rpm inasogea mpk 3 hapa ulaji wake pia sio mbaya ambapo apa inafika maximum 120 ukizid apa rpm inasogea mpk 4 apo inaharibu sana fuel...
  3. J

    Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

    vp feedback umeionaje Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  4. J

    Nichague ipi kati ya Vitz au Honda FIT 2008

    apo inategemeana unataka ya mwaka gani, ila kiufupi fit inaweza kua nzuri zaidi kuliko vitz toyota by keeping other factors constant kama mafundi, spare parts, kuja kuiuza badae na practicability kwa mazingira ya bongo ila ukiangalia factor zote bila kukeep constant utarud kwenye vitz ambayo ni...
  5. J

    Nahitaji kuagiza Toyota Vanguard 2011

    vp mkuu ulipata gari yako utumiaji wake wa mafuta ukoje na comfortability in high speed
  6. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    basi tufanye ilikua mbovu mm sijaongelea highway naongelea town trip Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  7. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    hii niliiagiza mwenyewe befoward haikua na shida wala Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  8. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    iyo maximum kwa dar town trip ilikua maximum inafika 8km/l Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  9. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    usisikilize review za google ukifatilia google wanakwambia vitz inafika 22km/l nunua uone, mm nimeshaendesha for more than 2 yrs ndo mana nakwambia ivo and nilishauliza wenye nayo nikajua ni mm tu wakanambia its normal sio ist izo kaka Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  10. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    basi we have different experience but ata vw golf ambazo zinaonekana ni ndgo tu mfano vw golf gti, gt au tsi unakuta fuel consumption kwa mjini ni 5km/l up to 7km/l Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  11. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    gari za germany ni performance car usitegemee kitumie mafuta kidgo gari inafika speed 260 utegemee inuse mafuta kwanza ni nzito compared to japanese car hata vw polo kwa muonekano ni kidgo ila kina weight kubwa, pia unakuta ina turbo Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  12. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    yeah nimtumiagi halisi tena usinunue kwa kuangalia cc hutaamini Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  13. J

    Nataka kununua pikipiki Honda Ace 125 Individual. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya kwa level yake na bajeti?

    ni piki piki nzur sana huwez jutia ukifanya service vzr utanunua cratch tu na spoket na brake shoe basi tofauti na apo ni kuwasha na kuondoka, japo iyo bei ni rahisi sana so kua makini, ukienda showroom ya honda wanauza 5M+ Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  14. J

    Msaada kuhusu ulaji wa mafuta wa gari yangu

    Kama dar manake ni foleni ni gari gan specifically Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
  15. J

    Audi Q3 vs Audi Q6

    kama unataka kuhamia ujerumani hakikisha hela yako unaibudget kbs kwenye gar sio swala dogo kumiliki mjerumani kuanzia fuel consumption, service, spare availability and cost, mafundi na kubwa kuliko ni kwamba gari za ujerumani zinaharibika mara kwa mara na kuzitengeneza ni gharama kubwa unaweza...
Back
Top Bottom