Recent content by jumanne mariri

  1. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro atuma askari kutoka Makao Makuu kupambana na askari wa FFU waliokuwa wanapiga raia ovyo

    Hii ndio ainaa ya wtz tulionao polonjooo nyingii vitendoo zerooo Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro atuma askari kutoka Makao Makuu kupambana na askari wa FFU waliokuwa wanapiga raia ovyo

    Ww mchumba usilete porojoo kwenye mtandao ongea fact kuwa wananchii wanaugulia maumivu Ww unajifanya tofauti ya monduli, kilimanjaro, kiwira wenye maneno kama nyie ndoo kunguruu kinouma Mgamboo tuu atakuchapaaa ww Sent from my HTC Desire 620G dual sim using JamiiForums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro atuma askari kutoka Makao Makuu kupambana na askari wa FFU waliokuwa wanapiga raia ovyo

    Hahahaaaa Ww siku jichanganye ndoo utawajua wale jamaaaa kama ni raia wakakamavu au laah watakuchezeshea kama hutajitambulisha
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jumanne mariri

    Ndugu zangu nauliza ni sehemu gani morogoro Ambapo unaweza kununua mpunga kwa gharama nafuu kipindi cha uvunaji Na upatikanaji wa maghala kwa ujumla (vijiji gani)
Back
Top Bottom