Recent content by Jumanne kimale

  1. J

    Lowassa agawa tisheti kanisani

    Ama kweli ! huyu ni mwanaume wa kweli! Yeye Ubunge kwake ni dilii! Hana dhamira ya kuleta mabadiliko ya maendeleo katika jamii yake ya Kimasai! Kwa nini asiwagawie rubega? Nadhani watanzania wakati umefika kuwa macho na viongozi wetu ambao wanadhani tisheti ndio mahitaji yetu kwa sasa!!!
Back
Top Bottom