Recent content by juma30

  1. J

    Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  2. J

    Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI LEO TAREHE 14 JUNI 2024. MHE...
  3. J

    Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

    Bashe anadaiwa kushiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini. Pia, anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000 za sukari kinyume na mahitaji yaliyopo; kuyapa makampuni yasiyo na sifa ya kuingiza bidhaa hiyo na...
  4. J

    PreGE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

    Makamba unasema hatumkubali Rais wewe na nani ambao hamumkubali rais mimi sijawahi kusikia kiongozi hata mmoja aliyeteuliwa na rais akisema hayo maneno hatakama hatumkubali wewe umejuaje kama wengine hawamkubali? Rais Samia waangalie vizuri hawa vijana wako na hizi kauli zao ni jambo nyuma
  5. J

    Vigogo 3 kufukuzwa Ikulu kwa wakati mmoja ina maana gani?

    VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano. Uamuzi huu mgumu huenda kuna jambo kubwa tusilolijua hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa 2025...
  6. J

    PreGE2025 Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

    KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025. Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni...
  7. J

    Luhanga Mpina aibua mambo ya kutisha huduma za kuongeza makalio, atoa ufafanuzi mzito

    UFAFANUZI WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA, KUHUSU HOJA YA HOSPITALI ZA SERIKALI KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KUONGEZA MAKALIO NA MATITI ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 14 FEBRUARI 2024 VIWANJA VYA BUNGE DODOMA Ndugu Waandishi wa Habari, asanteni kwa nafasi hii...
  8. J

    PreGE2025 Kwanini Waziri Mkuu Majaliwa asijiuzulu ili Serikali iundwe mpya

    kusini wanalia ugumu wa maisha, tatizo la umeme, mbolea na mambo ya korosho hali ni mbaya
  9. J

    PreGE2025 Kwanini Waziri Mkuu Majaliwa asijiuzulu ili Serikali iundwe mpya

    Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi lakini bado matatizo ya wananchi yako pale pale tena ndiyo yanazidi kuwa mabaya. Ushauri wangu...
  10. J

    Makamba wizara imemshinda sikiliza video hii

Back
Top Bottom