Recent content by Juma Wage

  1. Juma Wage

    GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Mbona mmenijibu mapema sana🤣 au ndio tuseme hata majibu mlishayaandaa?!😅
  2. Juma Wage

    GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Sio kwa ubaya, ndugu zetu CCM mtuambie wapi mlipowatoa wale watu!
  3. Juma Wage

    Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    😁😁😁 imani imekita na kukolea moyoni
  4. Juma Wage

    GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

    😀😀😀😀😀
  5. Juma Wage

    GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

    Sio kawaida yao kuwa kimya kwa muda mrefu hivi
  6. Juma Wage

    Kumbe kifo cha kipepeo mkuu kilikuwa njama ya kumchafua "Daftari kuu" ili ubingwa wa SISEMI uonekane umepangwa

    Kila mtu ana uwezo wake binafsi wa kuelewa, kufikiri na kuamua. Asante Mkuu, nikutakie jioni njema.
  7. Juma Wage

    Kumbe kifo cha kipepeo mkuu kilikuwa njama ya kumchafua "Daftari kuu" ili ubingwa wa SISEMI uonekane umepangwa

    Nilivyoelewa mimi ni kwamba mleta mada ametengeneza maswali fikirishi kuhusu haya matukio yanayoendelea!! Badala ya kujadili kwa akili tumeingia kwenye mtego wa hisia.
Back
Top Bottom