Recent content by JUMA SALUM GUTA

  1. JUMA SALUM GUTA

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    Boniphace Getere bado anayo nafasi ya kuchaguliwa kwa maslahi ya wananchi wa jimbo la bunda vijijini.Natambua kuwa kuna diwani mmoja anafanya kampeni za chini kwa chini lakini kwa boni bado ana nafasi 2020. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. JUMA SALUM GUTA

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    Nchi hii in yetu sote,swala la TASSAF ni mipango ya serikali kuzisaidia kaya masikini.naona nikomee hapo maana kuna watu wana mahaba na watu na siyo maslahi ya watu.ANNA TIBAIJUKA Katangaza kustaafu.ABDALLAH BULEMBO NA LWAKATARE WOTE wametangaza kustaafu je hawa wote ina maana...
  3. JUMA SALUM GUTA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bunda Mjini kumekucha viongozi wa CCM Wilaya waanza kushikana uchawi kwa sababu ya rushwa za Mwanza huduma

    Mbona hii barua haina sahihi ya mwandishi?. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JUMA SALUM GUTA

    JamiiForums Tanzania Haya basi Magufuli hafai! Je, nani alistahili kuwa Rais?

    Ngoja watu washike adabu watanzania tulikuwa tumefikia hatua mbaya sana.waliokuwa wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawataweza.Tutaelewana tu ba tutaongea lugha moja tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom