Sifikirii kuchekelea hili maana najaribu kuwaza mtu kama wa ruvuma,mtwara,rombo,pwani,labda na njombe huko maana nimbali walishaanza safari,sasa leo hii unawaambia warudishe hela kwani kabla hawajaagizwa waende haikujulikana kama watatumia hela ya serikali?Napongeza wazo lakuzuia safari hii...
Wadau nina nissan caravan 3D inashida ya ile puller inayokaa kwenye kompresa kuvuta fen belt ya njia sita kama kuna mtu ana kompresa iliyokufa anipatie hyo pull ntafurahi sana nisiingie garama kununua kompresa mpya, Bei tutaongea, Tuwasiliane 0715770961
Angalia picha ya ninachotaka
Wadau nina nissan caravan 3D inashida ya ile puller inayokaa kwenye kompresa kuvuta fen belt ya njia sita kama kuna mtu ana kompresa iliyokufa anipatie hyo pull ntafurahi sana nisiingie garama kununua kompresa mpya,Bei tutaongea,Tuwasiliane 0715770961
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.