Recent content by Juma B

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maombi ya vyuo vya afya kupitia mtandao.

    Haya yote wamesababisha NACTE kutuletea haya mamifumo yao ambayo sisi wengine hatujui kuyatumia,mwenyezi mungu nisaidie
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maombi ya vyuo vya afya kupitia mtandao.

    Najaribu kubadilisha mf.0 kuwa O yani hapo ndio yanakuja maneno haya INCORRECT PAYMENTS CONFIQRMATION CODE sijui cha kufanya.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Maombi ya vyuo vya afya kupitia mtandao.

    Nashukuru sana kwa ushauri wako, Mahina veterani,mimi nipo makambako iringa huku.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Maombi ya vyuo vya afya kupitia mtandao.

    Msaada wana jf mimi nilipenda sana kuomba maombi ya vyuo vya afya tangu mwezi mei, sasa kutokana na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo wa familia hatimae nilikosa hela ya maombi ambayo ni sh.30000 toka siku hiyo nimekuja kupata jana hiyo hela nimeshatuma kwa m-pesa code ninazo. Tatizo ni kwamba...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa barua ya maombi haitakiwi kufanyiwa printing?

    inategemea na sehemu unapopeleka,kuna sehemu nyingine masharti yao lazima uiandike kwa mkono wako
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kidato cha nne 2013

    Watu wanahangaika pakwenda,chanzo chake ni wizara ya elimu kuongeza daraja E ambalo linawachanganya watu wengi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kidato cha nne 2013

    Sasa kama E ni fail wao NECTA waliiweka ya nn?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

    Thank you, pamoja sAAAna
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Kwahiyo we unataka nn sasa,acha kuropoka ropoka ww
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

    je naweza kutuma application kwa kutumia email yao? au ni lazima niende hadi chuoni? msaada mkuu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tafadhali,pita hapa tujuzane kuhusu vyuo vya afya

    Y,unasema KAM ni majanga?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tafadhali,pita hapa tujuzane kuhusu vyuo vya afya

    Kwan vyuo binafsi si unafanya maombi kupitia CAS? au unaenda chuoni moja kwa moja?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tafadhali,pita hapa tujuzane kuhusu vyuo vya afya

    Tuma maombi wizarani ww asikukatishe tamaa mtu, CAS central admssion system wamesema kwamba cheti cha kidato cha nne kionyeshe alama D na E ktk PCB.alama E ni sawa na D ya mwaka jana
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tafadhali,pita hapa tujuzane kuhusu vyuo vya afya

    Biology and chemistry are compulsory but physics is required for clinical medicine course
  15. J

    JamiiForums Tanzania Eti private HEALTH COLLEGE nako kuna ushindani naomba mnijuze?

    Kwan hata kama unataka kwenda vyuo binafc vya afya ni lazima utume maombi NACTE? naomba kujuzwa kwa anae fahamu
Back
Top Bottom