Recent content by julius nashon

  1. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

    Ni hatare tupu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

    Mze Ukiomb unaambiwa Hatuwez kukusikiliza pisha tuhudumie wengne Sent using Jamii Forums mobile app
  3. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

    Unajua Maana ya kuomba nao vizr Lazima utumike tofaut na kanun za nch Sent using Jamii Forums mobile app
  4. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

    Nataman kuacha kufanya biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  5. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

    Awali nilikuwa nafanyia Biashara yangu mkoa tofaut,na nilikuwa nalipa Kwa kiasi kulingana na mtaji wang,sasa baada ya kuja huku na tini number yangu nikaifanyia Mabadiliko ya kufanyia Biashara eneo jingne,na penyew kukadiriwa muhim, Sasa Lukas mezan Kwa ajili ya mazumzo alafu,upande flan...
  6. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya makadirio?

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  7. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya makadirio?

    ukiangalia mtaji uliopo na kodi iliyokadiriwa haviendan Sent using Jamii Forums mobile app
  8. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya makadirio?

    Nini maana ya makadirio? Na nini maana ya kumwambia Mteja aende akakadiriwe wakati hata akijitetea vipi kodi iko palepale, tena kauli inayotumika Eti hiyo imeisha tunaomba uachie wengine nafasi tuwasikilize Sent using Jamii Forums mobile app
  9. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

    Mfano me naona nilienda kukadiriwa Wakaniuliza kiasi cha mtaji,nikawaeleza Lakn kodi niliyoambiwa na Biashara yangu Vitu viwili tofaut, rais wetu anasema Acheni kukaa ofisini muwatembelee Watu muone na msikilize changanoto na utofaut wa mitaji yao Na wengine,rais wetu Anania nzur ila...
  10. julius nashon

    JamiiForums Tanzania Kahama wafanya Biashara wadogo wanaumia

    Halmashauri ya mji wa Kahama na TRA, fanyeni tathmin ambazo Haziwezi kuwa mzigo Kwa wafanyabiashara, haiwezekani mtu anajipeleka kukadiriwa halafu mnaweka kodi pasipo maridhiano mazuri wakati kumfanya Makadirio, mtu anaenda kulipa lakini Moyo wake haujapendezwa na kodi Ya makadirio aliyofanyiwa...
Back
Top Bottom