Recent content by Julius byakuzana

  1. Julius byakuzana

    Je, kuomba ajira, NIDA tu inatosha au vyote (cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja?

    Je, kitambulisho Cha NIDA kinaweza kuwa mbadala wa cheti Cha kuzaliwa (endapo huna hicho cheti) katika kuomba ajira au vinahitajika vyote kwa pamoja?
  2. Julius byakuzana

    Msaada kukamilisha safari yangu ya elimu

    Asante sana #Sisyphus. Nimefuatilia kwa hiyo link ya TRA, nimefanikiwa kupewa msaada. Ubarikiwe.
  3. Julius byakuzana

    Msaada kukamilisha safari yangu ya elimu

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30, kiwango Cha elimu (FEDHA & UHASIBU, NTA-5; pia OFFICIAL STATISTICS, NTA-5). Changamoto ya kiuchumi inanifanya nizidi kuchukua mda mrefu kukamilisha ngazi ya diploma angalau mojawapo. Je, kwa hiyo ngazi ya elimu, ninaweza kuomba...
Back
Top Bottom