Recent content by julisa

  1. J

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Usichangie bila kujua unaongea nini..
  2. J

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Acha uongo wewe..vipimo vya kugundua saratani vyote vinapatikana ocean road ukiacha kipimo cha MRI tu ambazo wagonjwa wanaweza kufanya muhimbili
  3. J

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Ugonjwa wa saratani unatibika ukiwa hatua za awali ndio maana serikali inahimiza wananchi kupima afya zao mapema ili ikigundulika mapema watibiwa na kupona Sasa hebu sema wewe umewahi kufanya check up lini ya saratani..acha kulaumu km huna uhakika
  4. J

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Wagonjwa wengi wa saratani wanafika ocean road wakati ugonjwa upo hatua za juu na inakua ngumu mgonjwa kupona kabisa ugonjwa wake. Huyo mgonjwa hata akipelekwa marekani au india au nchi ingine anatibiwa kupunguza makali ya ugonjwa na kuongeza muda kuishi. Usilaumu bila kujua huduma za kansa...
  5. J

    USHURU WA GARI-TRA

    Inawezekana itakua shauli ya kodi ya uchakavu..umri wa gari umeongezeka..
  6. J

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Habari. Natafuta kioo cha flat screen ya tcl 25"..kama unafahamu kinapopatikana..
  7. J

    Msaada taa za ABS na Tyre pressure kuwaka muda wote

    Jaribu kucheck wire wa abs ktk hub ya tire inawezekana umekatika..tatizo kila tire lina wire wake hivyo ni muhimu kutumia mashine ya diagnostic uweze kujua ni hub ya tire la upande upi..
  8. J

    Tege la RAV 4 ni cronic dieses au?

    Kama alivyosema mdau hapo juu inahitajika kurekebisha kiungio kinaitwa kemba?..matairi ya nyuma. Nenda kwa wataalamu wa wheel alignment na balance wanarekebisha hiyo tatizo
  9. J

    Service ya gari lililotumika mara tu unapolitia mikononi baada ya kulinunua kutoka nje

    Muhimu kufanya general service ya gari..engine oil na oil filter, gearbox oil, sparkplugs, aircleaner, ac airfilter, na ukiweza badilisha matairi km una safari ya masafa au usafiri usiku. Sio muhimu kubadilisha timing belt/chain unless imepita km 100k..
  10. J

    Msaada Check engine light - ping sound Toyota kluger

    Itakua ni nock sensor..kanunua maduka ya used..
  11. J

    Honda crv for sale

    Katika rating za magari, honda ipo vzr sana ktk uimara wa engine, ulaji mafuta na usalama wa gari ktk ajali..
  12. J

    Honda crv for sale

    Nakubali hela yako sio ndogo lkn unachonunua kina gharama kubwa lets chat private
  13. J

    Honda crv for sale

    Hapana sio kweli kabisa. Hiyo gari yangu namba ni BFM sasa tafuta rav4, xtrail au escudo yenye namba za aina hiyo linganisha hali yake ya mwonekano au engine.
  14. J

    Honda crv for sale

    Hapana haina tatizo lolote sababu nimepata gari la ofisi na nina shida ya hela kuna mradi namalizia. Honda ni gari ngumu za matumizi na kama ww ni mtu wa masafu marefu ya mkoa basi utaipenda sana inavyotulia highway. Na muhimu ina safety feature nzuri sana ukilinganisha na SUV zingine hata...
  15. J

    Honda crv for sale

    Habari wana jamii forum. Ninauza Honda CRV RD5 ya 2003 Taarifa zaidi ya gari ni kama ifuatavyo; Body: SUV 5doors Engine: K24 i-VTEC, 4 cylinder, 2000CC Transmission: Automatic 5-gear, 4WD, ABS na VSA Odometer: 99k Fuel: Petrol Calour: White metallic Additions: alloy rims, AC, power...
Back
Top Bottom