Kumekuwa na tabia isiyopendeza ya kutokupenda kuwatumia wataalam wa Kitanzania Wazalendo kulitumikia Taifa lao na badala yake wamekuwa wakiachwa waende kuyatumikia mataifa ya nchi za nje na sisi kuishia hatuna wataalam na tunapowahitaji huwa tunawatumia wageni ambao tunawalipa mamilioni ya fedha...
* MBIO ZA USPIKA NA UJIO WA Prof. RICKY COSTA MAHALU
Professor Ricky Mahalu ni moja wa magwiji wa sheria katika nchi hii "one of Tanzania Top Legal Minds". Ni mzoefu wa sheria na amekuwa mhadhiri wa vyuo mbalambali kama UDSM, Mtakatifu Agustine, Bagamoyo University na Germany.
Prof. Mahalu...
Prof. Semboja (UDSM), Philip Mipango, Dr. Cyril Chami na Prof. Dungumaro (UDSM).
Moyo wa nchi yoyote ile duniani ni kuwa na uchumi imara. Na ili uwe na uchumi imara ni jukumu la Rais kuchagua jopo/timu la washauri waliobobea, walio makini, wenye uelewa zaidi ya masuala ya uchumi na wabobezi...
Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli amekimbia nduki la ajabu na kuukacha mdahalo licha ya kuwa alithibitisha kushiriki.
Mpaka sasa hakuna sababu ya msingi iliyotolewa na yeye au chama chake CCM cha kusepa na kuingia mitini mdahalo huo ambao CCM walikuwa na tambo tele za...
Wanaosema Magufuli muadilifu wanasahau kuwa akiwa waziri tu aliweza kulisababisha hasara ya mabilioni ya fedha nchi yetu kwa uamuzi wa pupa kwa meli ya samaki. .... Akipewa Urais naona atauza nchi kabisa ..... Magufuli amekosa busara, hekima, uweledi wa kiuongozi, hafai kuwa Rais
Kabisa Mwl. Membe pia anaongoza kuwagawa vijana kutokana na kutumia madaraka yake vibaya kuwapendelea wale tu wanaomuunga mkono hata kama fursa ni ya watz wote
Nape Nnauye ajitokeze kukemea kitendo cha Mbunge wa jimbo la Mtama kuanza kampeni za urais kabla ya wakati kinyume kabisa na utaratibu wa chama ulivyo.
1. Kwa haraka ya kutaka kukimbilia ikulu, Membe amefikia hatua ya kuingilia idara za viongozi husika ndani ya chama. Mfano Membe Leo ameshiriki...
Hili tukio lilishashtukiwa kuwa kuna watu la akina Membe na Pinda kuwatumia wanafunzi wa kuwahonga mamiliini ya Pesa ili wakanushe.
Ushahidi huu hapa
PINDA, MEMBE WAPANGA KUMUHUJUMU LOWASSA
Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua...
Ni wazi sasa kuwa kambi ya Mizengo Pinda na Bernard Membe wameanza kupanga mbinu chafu za kumchafua Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.
Pinda na Membe wamepandwa na hasira zaidi mara baada ya kuona wananchi wa kada na rika tofauti wakienda nyumbani kwa Lowassa maeneo ya Area D, Dodoma na...
Nape hana ujembe wowote ule bali anasumbuliwa na laana ya kumkana Baba yake mzazi Profesa Mark Mwandosya na kujifanya mtoto wa Mzee Moses Nnauye. Mzee Nnauye alishtukia mchezo huo hadi kuamua kumnyima urithi. Leo hii ni vuvuzela, ni tangatanga la hapa mjini lillilojaa laana tupu
Nakusalimia Nape na nakupa ujumbe wa wazi kwako.
Kibaya ambacho kwangu nakiona ni kizuri unafanya kazi ya kukuza upinzani huku ukidhani kuwa tumbo lako litazidi kuneemeka kwa kuwa katika maisha yako umejaa usaliti, unafiki na uzandiki.
Ni jambo la wazi kuwa tahmini ya kisiasa inaonesha kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.