Recent content by Juicy J

  1. Juicy J

    MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐚𝗺𝐞𝐬𝐞𝗺𝐚 𝐯𝐲𝐞𝐭𝐢 𝐯𝐢𝐚𝐧𝐳𝐢𝐞 𝐌𝐁 𝐧𝐠𝐚𝐩𝐢?
  2. Juicy J

    MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Mkuu mpaka hapo umemaliza kila kitu,,, sina dukuduku tena juu ya hili suala. Kilichobaki hapa ngoja nipambane na mtandao tu
  3. Juicy J

    MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Mkuu nashkuru kwa kuniondoa wasiwasi. Ngoja nifanye hivyo
  4. Juicy J

    MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Hapana mkuu, unasumbua tu. Umefanyaje kwenye upande wa vyeti wewe? Unatumia original au copies
  5. Juicy J

    MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Yaani mkuu hizi mamlaka zimeamua kabisa kuchanganya watu, nadhani ni kukurupuka na kukosa weledi tu. Suala serious kama hili linapaswa kutolewa maelezo yaliyonyooka ambapo hakutokuwa na maswali mengi kwa waombaji. Yaani mpaka sasa najitafuta tu
  6. Juicy J

    MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Daaah, hapa ndo nachanganyikiwa. Kila mtu anaongea la kwake,, which is which wakuu maana hili suala ni serious
  7. Juicy J

    MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Habari za wakati huu wadau, natumaini muwazima wa afya. Kwa wale tunaoendelea na kutuma maombi Mungu atusaidie sana. Kuna mkanganyiko kidogo nimeupata kutoka kwa hawa TAMISEMI. Katika page yao ya Instagram waliopost tangazo la ajira kuna mdau aliuliza swali kuhusiana na vyeti kama vinatakiwa...
Back
Top Bottom