Recent content by jugwe

  1. jugwe

    Umewahi kuibiwa nini ukaumia sana rohoni? Mi niliibiwa hivi

    Niliibiwa jogoo mmoja mkubwa sana kuchi ni miaka 11 sasa ila sijamsahau bado
  2. jugwe

    Kupaka rangi za ruti: UDA na SUMATRA nani mbabe?

    Leo hii kwa wakazi wa kigamboni lazima wapande mabasi mawili au watembee kwa miguu hadi mnazi mmoja ndio wachukuwe usafiri mwengine kuelekea wanakotataka kwenda
  3. jugwe

    Kupaka rangi za ruti: UDA na SUMATRA nani mbabe?

    Serikali ya tz kila kitu ni miradi ya vigogo tu fulani fulani hakuna kingine na wala hawajali wananchi wake watakua ktk hali gani
  4. jugwe

    Chidi Benz ampiga Ray C

    Wacha wauwane tu watajijuwa wenyewe
Back
Top Bottom