Recent content by judy0

  1. judy0

    Natafuta mchumba

    Kwa kuwa n tangazo la kusaka nafasi et😁
  2. judy0

    Natafuta mchumba

    Yes ila n picha ya miaka mtatu back. Saiz kuna mabadiliko makubwa sana!
  3. judy0

    Natafuta mchumba

    Siyo lazima unipe. Lengo langu likikuwa juu la chini n chombezo tu. So ata nisipopata siwez kununa🙏
  4. judy0

    Natafuta mchumba

    Hapana. Judy n jina tu dear. Ila mm ni Anastazia
  5. judy0

    Natafuta mchumba

    We kuelewa mgumu. Nmesema natimiza miaka 28. Nahitaji mtu wa kuanxia 28-35. Ugumu uko wapi hapo dear???
  6. judy0

    Natafuta mchumba

    Nyie mood mmebadili title yangu. Msingi wa maelezo yangu umepotoshwa wote. SIHITAJI MCHUMBA!
  7. judy0

    Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Mwez wa pili huu🙄 huwez kupata mtu wa hata kukununulia cm ya tochi
  8. judy0

    Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Ukute unatumia Itel mkuu. Maisha ya online n mazuri😂😂😂
  9. judy0

    Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Ndiyo. Maisha ndiyo yanatufanya tuwe watu wa kutumia vitu vilivyochokwa🤪
  10. judy0

    Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Muda wote nimeweka chaji saiz. Yan nimekuwa mfungwa mana ili nichat inabid niwe karibu na socket🤪
  11. judy0

    Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

    Duuu. Sasa utajadili nini wakt nikikaa online dak 30 tu cm inazima😂😂
Back
Top Bottom