Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa.
If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita.
Kwa hiki...
Serikali ya Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa wanafunzi wa masomo ya Sayansi na Teknolojia hasa katika zama za wakati tulio nao, Rais Samia Suluhu kupita bajeti ya Serikali ya Wizara ya Elimu 2022/23 kiasi cha Sh. 3bn/- kimetengwa kwa ajili ya kufadhili wanafunzi 500 wa masomo ya...
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.
Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu...
Umepitwa sana ndugu yangu, unataka kufananisha elimu ya Oman na Tanzania? Hehe aisee kiwango cha upuuzi cha baadhi ya watanzania ni chakutisha sana. hehe
Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.