Recent content by Juan-Gonzalez

  1. Juan-Gonzalez

    Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Upendo dar to makambako, gugari gunapiga kelele kama gutipa
  2. Juan-Gonzalez

    Biashara zinazofanyika Mkuranga

    Wana JF, Naomba kuuliza shughuli zinazofanywa kwenye wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Ni miji ipi ipo kwenye hiyo wilaya, utamaduni wa watu wa huko ni upi na ni watu wa kabila gani wanapatikana katika wilaya hiyo. Nataka niende huko nikafanye maisha naombeni msaada kwa wenye taarifa kuihusu...
Back
Top Bottom