Recent content by Jr. classic

  1. J

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    FACT NYINGINE Gap la arumeru et ni wasema 54,000.. chukua hyo 10,000 Ilobaki juu kule.. Haya Tanga- Bumbuli Maghufuli kamzidi kwa 27,382 Katavi Maghufuli kamzidi kwa 25,371 Tabora - Igalula Maghufuli kamzidi kwa 20,154 Jumla 72,907 + ile 10,000 Jumla 73,907 Haya...
  2. J

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    A TENTATIVE FACT. Hadi sasa tofauti ya lowassa kwa maghufuli monduli ni kama 38,000 tofauti ya siha 4,000 tofauti ya moshi mjini 21,000h Jumla ni 63,000.. UKIJA KWA MAGHUFULI Shnyanga - koha Peke yake maghufuli kamzidi kwa 43,000 Ruvuma peramiho maghufuli kamzidi lowassa kalwa...
  3. J

    Tuliofanikiwa kupata transfer za TCU

    Kaka mi pia nmepata transfer na nipo dar nasikia inabidi nifuatilie TCU na Heslb kote ili walekebshe mambo...mi pia sielewi ila kesho asbh TCU moja
  4. J

    Mweka college wanafungua lini?

    samahani bro.. post za bachelor degree mweka znatoka lini maana hatuelewi..cku znazidi kwenda na vyuo vingine wametoa
  5. J

    Mweka college of Wildlife post Lini?????msaada

    Wadau samahani kwa yeyote anaefahamu lini post za mweka znatoka atujulishe maana tunakaa na presha tu vyuo vingine washatoa ..mweka hata dalili hamna na siku zinazidi kwenda.
Back
Top Bottom