Administration yote ya Hezibollah imefekwa, 99.9% ya viongozi wote wa Hezibolah wamekufa, kila anayeigusa Israel anapata hasara kubwa kuanzia Gaza, Lebanon , Iran,, mwanzoni nilikuwa simuelewi Netanyahu kulimaliza vita kumbe huko nyuma Israel ilishawi kuteka eneo la Lebanoni na kuliachia ili...