Recent content by JPM IS A GOOD LEADER

  1. J

    Madhambi na makosa ya Serikali ya CCM hayaondoi na kuhalalisha udhaifu wa CHADEMA kushika Dola,Tujipange kwa Umakini....

    Nafikiri panahoja ya kueleweka hapa, ila je, kwann tusishauri wanaotaka kuibadili CCM wayapunguze madhaifu ili tuwe tunasonga mbele kuliko tukaamua tu kubadili chama bila kujajali diraction vinginevyo itakuwa ni tafadhali ya CCM. maaana............... zimwi likujualo halikuli likakwisha.
  2. J

    Rais Magufuli azindua ghala na mitambo ya gas ya LPG ya Taifa Gas Tanzania Ltd

    CHADEMA mbona mnachanganyikiwa hivyo????? Mnajaribu kumpaka matope JPM lakini kila leo wanaibuka wa kumfanya ang'are kiasi mnachoishia kuongea upuuzi kama huku
  3. J

    Rostam: Misimamo thabiti ya Rais Magufuli kwenye uwekezaji imetufanya kurudi kuwekeza nchini

    Kisa yupo CCM ndo mnamsema hivyo?? Chuki za siasa hazitatufikisha popote
  4. J

    Rostam: Misimamo thabiti ya Rais Magufuli kwenye uwekezaji imetufanya kurudi kuwekeza nchini

    Mwenzio ni mwenyekiti wa TAIFA GAS alafu wewe usiye na hata funguo ya bajaji unasema upuuzi huu, siasa za ufipa zitawapoteza,,,
  5. J

    Serikali ihimize upandaji wa miti ya asili ili kuvutia viumbe vya asili

    Miaka minne imekuwa na mafanikio makubwa japo changamoto ni nyingi lakini JPM is the best
  6. J

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    Mimi naamini hayo mawazo yako ni mazuri ila siyo kwamba hayaja fikirika na wenye dhamana ya uongozi tuliowapa, isitoshe miaka 99 ni mingi sana kutokuendelezwa kwa bandari nyingine yoyote alafu tutegemee bandari Mona kwa nchi kubwa(geographically) kuleta maendeleo ya haraka. Kitu cha msingi na...
  7. J

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    Kwanini hukufanya comparison masharti ya hiyo bandari???? Tatizo hamtaki kumuamini kiongozi na kumuacha afanye kazi, mmempa jukumu na kuongoza nchi basi muaminini
  8. J

    CCM Mwanza kwisha

    You always psychologically prepared in such a way as defending mechanism, mtabaki hivyo na kuishia kulalamika TU.
  9. J

    CCM Mwanza kwisha

    Watu kama Mimi wapi wengi saaaana ila hawana muda wa kubishana na watu wasio na dira kwenye chama chao, ila tunajipanga kuwanyima hata serikali za mitaa
  10. J

    CCM Mwanza kwisha

    Ushukuru wewe umeniona leo huku, ila kitambulisho cha kura ninacho miaka mingi
  11. J

    CCM Mwanza kwisha

    Hang'oki kwa maneno, watu saizi hawaongei 2020 kama nyuki kwenye vituo vya kupigia kura
  12. J

    CCM Mwanza kwisha

    Wazungu wameshindwa sembuse ufipa??
Back
Top Bottom