Recent content by Jphine

  1. Jphine

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na nyonga

    Asante sana kwa ushaur
  2. Jphine

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na nyonga

    Umri wangu miaka 35, ni mwanamke. Sijaenda hospital nina wiki moja naona hii hali.
  3. Jphine

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na nyonga

    Salaam, Naomba msaada, nasumbuliwa na tatizo la kiuno na nyonga kuwaka moto. Pia sehemu ya chini ya mgongo. Ni maumivu ambayo yanasababisha muda mwingne nishindwe hata kulala. Naomba kufahamu tatizo linasababishwa na nini na tiba yake. Shukrani!
  4. Jphine

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Asante kwa maelekezo yako mkuu
  5. Jphine

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Hello I'm new member
Back
Top Bottom