Recent content by jp_2021

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Acha kusemea wengine, wewe unahusika vipi kwa hili suala la fedha ya kujikimu?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

    Unakoseka kuwaita mabinti hao ni Wanawake kwa sababu usichana walishatolewa siku nyingi kutoka huko shule msingi, Vyuoni wanaingia kama wanamke asiyeolewa. Kwanza kabisa wanawake wa Kibongo ni wavivu kupita maelezo kazi yao kubwa in kuonyesha waliovyo warembo hata kama si warembo, hawasomi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta uliogunduliwa na DC Sara Msafiri sijaiona Waziri au Waziri Mkuu au Rais akilisemea, ni mradi wa wakubwa?

    Kweli hao ni wabaya sana, DC fanyakazi yako kuepusha madhara yanaoweza kujitokeza katika uchumi wa Nchi. Big up sana DC wa kigamboni
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

    Nakuunga mkono ndugu yangu Paschal Mayalla watu waache kuongea ongea kusema wakubwa wa nchi hii haipendezi kabixa
Back
Top Bottom