Recent content by Jozzee Baraza

  1. J

    Chadema imevamiwa

    Hadithi yako inatufundisha nini?
  2. J

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Mbona tangu lianze kuandika Slaa hajakanusha? Haya mambo watu wameanza kuyaamini kwa sasa na chadema kwa hili inabidi wawe makini wasiwachanganye wafuasi wao Slaa inabidi akanushe hizi habar amasivyo wafuasi hawawezi kua na imani
  3. J

    Halimashauri mpya zitakazoongozwa na UKAWA

    14.songea 15.Ilala 16.Kinondoni 17.Ubungo 18.Rombo 19.Hai 20.Rungwe 21.kilombero 22.Mtwara 23.Njombe 24.Momba 25.Rungwe 26.Kerwa 27.Sengerema 28.Musoma mjini 29.Tarime 30.Kyera
  4. J

    CCM kazi wanayo mwaka huu..

    ALIYEKUWA MKUU WA IDARA YA SHERIA TANESCO (ALIYEONDOLEWA KWA SABABU YA KUANDIKA RIPOTI YA KWELI KUHUSU KAMPUNI HEWA KTK UTAPELI WA ESCROW) GODWIN NGWILIMI (SIMBA) AMESHINDA KURA ZA MAONI JIMBO LA BARIADI - CHADEMA Matokeo: 12. Rivatus Masanja kura 1 11. Abeli mlingwa kura 3 10...
Back
Top Bottom